Shomari Kapombe kuivaa Yanga …
Kwenye mechi ya nusu fainali kati ya Azam FC na Simba kulitokea tukio ambalo lilisababisha majeraha ya mchezaji wa Simba...
Sven: Dumayo anatakiwa achukuliwe hatua stahiki.
Kapombe aliumizwa goti la mguu wa kulia kiungo Frank Domayo dakika za mwisho za mchezo tukio ambalo mwamuzi hakuliona.
Azam ya Ole Cheche ni balaa!
Katika muendelezo wa Ligi Kuu Bara (TPL) Azam fc wakiwa nyumbani katika dimba la Nyamagana baada ya kuuchagua kama uwanja wao wa nyumbani.
Azam wajivunia rekodi hii kuelekea mtanange wao dhidi ya Mtibwa Sugar.
Kikosi cha Azam kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam Alhamis ya Disemba 27 kuelekea mkoani Morogoro ambapo watakuwa na mchezo...
Mkude, Dante waachwa Stars!
Wakati kikosi cha Taifa Stars kikiondoka alfajiri ya leo kuwafwata Cape Verde kwao wachezaji watatu wameachwa jijini Dar és salaam....
Shabani Idd atupia tatu Prisons ikilalaa Chamanzi!
Klabu ya AzamFc imeendelea kufanya vizuri katika Ligi Kuu Bara baada ya kufanikiwa kuifunga Tanzania Prisons katika dimba la Chamanzi....