Gadiel Michael anaweza kucheza TP Mazembe -Mwinyi Zahera
Jana Mwinyi Zahera alipata nafasi ya kufanya mahojiano na Global Online TV . Mahojiano ambayo yaliibua masuala mbalimbali ,...
Shamte apewe muda, yule Msuva hatari! Unamuelewa Mao?
Hii hapa mpwa wangu nimekuletea zawadi hii kutoka Bujumbura kuhusu wachezaji walivyocheza, twende sasa..
Nani chaguo sahihi kiufundi: Tshabalala/ Gadiel?. Sehemu ya 1.
Baada ya kutua tu mitaa ya Msimbazi alikutana na wachezaji wenye majina makubwa kama Issa Rashid Baba Ubaya ambaye pia kipindi hicho alikuwa ni beki tegemeo wa U20, Huku Zimbwe akiwa tegemea U17, pia msimu huo huo Simba ilimsajili na Abdi Banda, yaani KAzi Kazi tu.
Tshabalala, Gadiel katika vita inayoumiza
Wanaweza wakawa wanacheza namba moja, lakini wanatofautiana katika namna ya uchezaji wao hasa wakati wa mashambulizi.