Nonga apiga U-Turn kali
Huyu ni mshambuliaji makini na hatari, akiwa amefunga mabao 10 katika msimu uliopita wakati akiwa na Lipuli FC.
Gwambina FC kumleta Mwinyi Zahera
Timu ya Gwambina FC iliyopanda ligi kuu msimu huu inaendelea kujiimarisha kuelekea katika msimu mpya kwa kufanya sajili mbalimbali kwenye...