Haruna Moshi “Boban” amerudi!
Haruna Moshi msimu uliopita alikua akiitumikia Yanga chini ya Mwalim Zahera kabla ya msimu kuisha na Yanga kuamua kuachana nae lakini sasa amerudi kivingine tena VPL.
‘Umasikini’ ndiyo ulioifanya YANGA kumsajili BOBAN.
Unakumbuka enzi za Boban? Alijua kupiga pasi vizuri, alijua kutengeneza nafasi za kufunga magoli vizuri. Alijua kufunga pia magoli. Alijua kuupaka rangi ya kila aina mpira.
Ngassa: Nafurahi kucheza tena na Boban, bado Azam FC.
BAADA ya ushindi wa 16 katika michezo 18 ya mzunguko wa kwanza, pointi 50 mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania bara, Yanga SC wamesema wataifunga pia Azam FC katika mchezo wao wa mwisho wa mzunguko wa kwanza ili kutanua pengo lao la pointi.
Nyika ni kweli miezi sita ya Boban ina thamani ya 25 Ml, au ‘unawapiga’ Yanga?
Kwanini pia Nyika alisema Ilanfya alihitaji Tsh. 25 wakati ukweli mchezaji huyo alihitaji milioni kumi tu?
Haruna Boban ni ´kamari´ ya Zahera, pigo kwa uvivu wa Ajib.
Kuwa na Boban, Mrisho Ngassa, Kelvin Yondan,Thaban Kamusoko, Amis Tambwe, Deus Kasekeni faida kubwa kwa Zahera. Kazi kwake.
African Lyon wateta, Boban kwenda Yanga.
Klabu ya soka ya African Lyon imesema haiwezi kuzungumza lolote kuhusu kuondoka kwa Haruna Moshi Boban ambaye anahusishwa na kujiunga na Yanga SC Kwani bado hawana uhakika na usajili huo na zingine.
Haruna ni mmoja tu!
Haruna Moshi Shaaban almaarufu kama "Boban" ni yuleyule tuu. Haruna mchezaji wa zamani wa klabu ya SimbaSc, France Rangers Gefle...
Hapa Boban kule Chujji sio kitoto leo Uhuru!
Baada ya Ligi kusimama kupisha michezo ya timu za Taifa kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, Ligi Kuu Bara (TPL)...
Ngoja nimpe Chaki na Ubao ‘Boban’, awape somo kina Feisal ‘Toto’.
Haruna Moshi " Boban" ni jina ambalo lilipata umaarufu sana, na ni jina ambalo lilikuwa linahusudiwa sana kuwepo kwenye midomo...