Hamkutaka tumkokee moto babu yetu Onyango!?
CAF wanatakiwa watoe adhabu kwenye haya Mambo kama inavyofanya TFF
Ni Wawa au Mzamiru kesho!?
Kanoute amekua akijenga "partenership" nzuri na Jonas Mkude si tu katika michuano ya CAF lakini pia hata katika michezo ya NBC Premier League.