Lakini pia ndio timu pekee kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) iliyofika mbali na kufanya vyema katika michuano hiyo yapili kwa ukubwa katika ngazi ya klabu msimu huu.
Nae nyota wa Yanga aliyehusika katika magoli mengi zaidi katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika Kenedy Musonda amesema wanajua malengo yao wao kama wachezaji