Stars yafia kwa mwenyeji!
Kwa matokeo hayo sasa ni timu za Kundi A Eritrea na Uganda ndio zitakazomenyana fainali na kuweza kumpata mshindi wa michuano hiyo kwa mwaka huu.
Killi Stars yaibukia Zanzibar
Kwa matokeo hayo sasa Killi Stars inakua na alama tatu baada ya michezo miwili huku Zanzibar Heroes wakibaki na alama yao moja walioipata katika mchezo wa kwanza dhidi ya Sudan.
Mashemeji waibuka wababe Challenge Cup!
Licha mwalimu wa Kili Stars kufanya mabadiliko kadhaa ya kuwaingiza Eliuta Mpepo, Hassan Dilunga na Ditram Nchimbi lakini juhudi zao hazikuzaa matunda na hivyo kupelekea kupoteza alama zote tatu!
Hiki ndicho kikosi cha Kilimanjaro Stars
Kilimanjaro Stars - Timu ya Taifa ya Tanzania Bara kesho Jumapili Desemba 3, 2017 itacheza na Libya katika mchezo wa...