KMC: Tunabaki Ligi Kuu ili Tutumie Basi Lakisasa na Uwanja Wetu Mpya
Nitoe rai kwa mashabiki wote wa KMC na wakazi wa Kinondoni kwamba bado tuna nafasi yakwenda kupambana mpaka tone la mwisho, ni kipindi ambacho tunahitaji kutumika zaidi ili msimu unaokuja tuweze kuwepo