Ambokile wa Mbeya City anaelekea Misri.
Mchezaji huyo mwenye mabao 11 katika Ligi Kuu Bara anatarajiwa kuondoka.
Akisaka goli lake la kumi vs City, Tambwe anahitaji sapoti ya mashabiki
Ni @heritier_makambo11 au @ambokile_10 kufunga kesho ili kumpita mwenzie katika jedwali la wafungaji bora tukielekekea nusu ya msimu pia? Fuatili tovuti yetu ambayo pia unaweza kuipata kwa app ya Android pekee.
Nswanzurimo: Yanga waje tu, tunawasubiri, tumejipanga.
Kocha wa timu ya soka ya Mbeya City 'Wanakomakumwanya' Ramadhan Nswanzurimo amesema hatoangalia rekodi ama michezo iliyopita watakapokwenda kucheza na Yanga siku ya Jumamosi kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Maandalizi ya Yanga dhidi ya MCC yakamilika.
Afisa Habari wa klabu ya soka ya Yanga Dismas Ten amesema maandalizi kuelekea katika mchezo wao wa Ligi dhidi ya Mbeya City yanaendelea vizuri na kwamba Kati ya wachezaji 20 ambao wamesafiri na timu hakuna ambaye anamajeraha yatakayomuweka nje ya mchezo huo.
Utabiri wangu: Yanga kufunga nyingi leo
Utabiri Wangu mechi za leo. Nyumbani Matokeo Mgeni Kagera Sugar FC 0 - 1 Azam FC Young Africans SC 3...
Idd Suleiman: Mbao hawakutuzidi chochote.
Mshambuliaji wa timu ya Kandanda ya Mbeya City Idd Suleiman amesema kuongoza mabao Mawili Dhidi ya Mbao FC na baadae...
Azam FC itaichapa Lyon!
MICHEZO mitatu ya ligi kuu Tanzania Bara inataraji kupigwa leo Ijumaa katika miji mitatu tofauti. Ndanda FC ambayo ilikwama mkoani...
Hongera Ambokile Eliudi!
Tovuti ya kandanda imeendelea kuwapongeza wachezaji wa Ligi Kuu wanaofunga mabao mengi katika kila mwezi. Mwezi wa nane wakati ligi...
Wanaume 20 tu wa Ruvu Shooting, kuiteka Mbeya.
Wachezaji 20 na viongozi 13 wa klabu ya soka ya Ruvu Shooting wanatarajiwa kusafiri asubuhi ya Alhamis wakitokea mkoani Pwani...
Alliance wajichimbia Iringa kuwawinda Mbeya City.
Timu ya soka ya Alliance imeendelea na maandalizi ya mchezo wake ujao wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mbeya...