Mbeya City walamba mkataba mnono kutoka Parimatch
IJUMAA Tar 28 August 2020 tumeingia rasmi makubaliano ya mkataba wa udhamini wa Klabu ya Jiji la Mbeya ‘Mbeya City’, ambayo inashiriki michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara katika msimu huu wa 2020/2021.
Kocha Simba awaita mashabiki Mbeya!
Kiungo huyo wa zamani wa Simba amesisitiza mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani ili kutoa sapoti kwa wachezaji.
MA REFA wanashinikizwa kuionea YANGA-Mkwasa
Jana kulikuwa na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara Kati ya Mbeya City na Yanga. Mchezo ambao ulikuwa wa kiporo...
Tazama msimamo hapa baada ya ushindi wa Azam fc na Mbeya city
Tazama msimamo wote hapa baada ya michezo miwili ya katikati mwa juma.
Mbeya City inanitoa machozi.
Ama kwa hakika watu wa Mbeya tuna hili deni la klabu yetu ya Mbeya City.
Ambokile huyoo Afrika Kusini!
Eliud Ambokile anakwenda kujaribu bahati yake nchini Africa Kusini.