Ligi KuuKiufundi! Nani hatari zaidi kati ya BOCCO, OKWI na KAGERE.Martin Kiyumbi5 years agoJohn Bocco yeye husimama katikati ya mabeki wawili muda mwingi. Unaposimama katikati ya mabeki wawili, mabeki huwekeza muda mwingi kwako, hivo kuacha uwazi eneo jingine la nyuma.
Mabingwa AfrikaSimba ina wachezaji wanne pekee wanaofaa katika hatua ya makundi.Sekwao Mwendi5 years ago “Tunafanya mazoezi ya nguvu sana, tunawaweka sawa wachezaji kisaikolojia waamini kuwa maisha yao ni soka”
TahaririHii Galacha wa mabao wa kandanda ni nini?Mwandishi Wetu5 years agoTovuti ya kandanda husheherekea na wachezaji wanaofunga mabao mengi katika Ligi Kuu kila mwezi.
Mabingwa AfrikaMatukio ya Mchezo wa Ligi ya Mabingwa, Simba vs JS Saoura katika picha.Issack John5 years agoSimba walishinda kwa jumla ya mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura, Mabao yaliyofungwa na Emmanuel Okwi na Meddie Kagere.
Mabingwa AfrikaSimba waidabisha Mbabane Swallows ligi ya Mabingwa Afrika.Issack John5 years agoMabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba Sports Club wamezidi kudhihirisha ubora wao katika michuano ya Kimataifa baada ya kuwachapa Mbabane...
Mabingwa AfrikaSimba ‘yaua’ MTU!Martin Kiyumbi5 years agoDakika nane pekee ndizo ambazo ziliwachukua Simba kufunga goli la kwanza kupitia kwa John Raphael Bocco. Goli hili lilidumu kwa...
Ligi KuuKagere na Okwi wakabidhiwa zawadi za kandandaThomas Mselemu5 years agoTovuti ya kandanda.co.tz iliendelea na utaratibu wake wa kusheherekea pamoja na wachezaji wanaofunga magoli mengi ndani ya mwezi moja kwa...
BlogYondan si Roy Keane, anapaswa kupevuka sasa.Baraka Mbolembole6 years agoINAKERA sana pale unapocheza kwa nguvu na kujitolea kwa ajili ya kuisaidia timu yako ipate ushindi- alafu unaona mchezaji mwenzako...
Ligi KuuBocco, Okwi ni nani atakayempisha Kagere ili Simba ibalansi kiuchezaji? Aussems presha inaanza leoBaraka Mbolembole6 years agoKOCHA mkuu wa Simba SC, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji bila shaka ana kikosi kipana, lakimni kuanzia leo Jumamosi naweza...
Ligi KuuHadithi ya Kagere haitofautiani na OkwiMartin Kiyumbi6 years agoHutokosea kipindi utakaposema nyumbani kwa Emmanuel Okwi ni kwenye klabu ya Simba. Hapa ndipo kwao, wazazi wake wamezaliwa hapa na...