Baada ya Simba kuifunga mabao manne kwa moja Yanga na kukata tiketi ya kwenda fainali ya kombe la FA imekua ni habati na historia kwa upande wa wachezaji Shevi na Haruna Shamte.
Winga huyo amewahi kuchezea timu ya vijana ya Simba sc hapo kabla, na amekuwa nguzo muhimu katika kampeni ya Ligi Kuu msimu uliopita kwa upande wa Lipuli Fc.