Vita ya kuwania kiatu cha dhahabu ni moto!
Kuna vita ya kuwania ufungaji bora na ile ya kukwepa kushuka daraja lakini pia nafasi ya pili bado ni kitendawili kati ya Azamfc na Yanga.
Coastal Union yaanza usajili na streka wa Azam fc.
Hakuna mshambuliaji wa Coastal mwenye idadi hiyo ya mabao mpaka sasa kwenye VPL. Mchezaji mwenye mabao mengi wa Coastal mpaka sasa ni Ayoub Lyanga mwenye mabao saba.
Azam fc inazidi kupukutika!
Klabu ya soka ya Azam FC imeendelea kupunguza wachezaji wake baada ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara katika...