Alichokisema Amunike leo.
Kitu muhimu ni kuwaunga mkono Taifa Stars huko waliko wapate ushindi.
Kitu muhimu ni kuwaunga mkono Taifa Stars huko waliko wapate ushindi.
Kila mtu ana jicho lake, jinsi anavyokiona kikosi cha Amunike. kuna wanaoona kikosi kimesheheni mabeki watupu, kuna wanaoona kikosi kiliwahitaji baadhi ya nyota ambao hawakuitwa. Lakini jambo pekee la msingi la kushika ni kwamba UKOCHA NI TAALUMA.
Ugumu wa mechi ya Simba vs As Club Vita utachagizwa na matokeo ya mechi za awali yaani Simba dhidi ya JS Saoura na AS Vita dhidi ya Al ahly. Jumla AS Club Vita wanaweza kupata alama 1-3 katika michezo yake miwili iliyosalia na mwisho wa siku kuwa na jumla ya alama 5-7.
Simba yupo uwanjani leo dhidi ya Al Ahly
Tarehe 22/08/2017 niliamka na mawazo sana, mawazo ambayo….Stori zaidi.
Hakuna mtaji mkubwa duniani kama maarifa, maarifa ndiyo….Stori zaidi.
Haruna Moshi Shaaban almaarufu kama “Boban” ni yuleyule….Stori zaidi.
Msemaji wa Ruvushooting amekuja na kali kabisa, msikilize….Stori zaidi.
Msemaji wa klabu ya Simba Hajji Manara ametoa….Stori zaidi.