Mabingwa Ulaya

Emery awatahadhalisha wachezaji wake.

Kocha wa Arsenal Unai Emery amesema licha ya matokeo ya mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza nusu fainali ya Uropa dhidi ya Valencia, lakini bado anauona mchezo wa marudiano kuwa ni 50-50. Emery amesema ni matokeo mazuri kuyapata wakiwa nyumbani lakini anaamini kuwa mchezo wa mkondo wa pili utakuwa mgumu...
Mabingwa Ulaya

Sarri atoa sababu za kumuweka benchi Eden Hazard.

Kocha wa klabu ya soka ya Chelsea Maurizio Sarri ametoa sababu za kumuanzisha benchi mshambuliaji wa pembeni wa timu hiyo Eden Hazard katika mchezo wa nusu fainali ya Uropa Ligi dhidi ya Eintracht Frankfurt ambapo uliisha kwa sare ya 1-1. Sarri amesema haikuwa busara kumuanzisha mchezaji ambaye amecheza karibu katika...
Blog

Messi: Mambo bado magumu!

Nahodha wa Barcelona Lionel Messi amewaonya wachezaji wenzake kuacha kufikiria kuwa wameshamaliza kazi baada ya kuwafunga Majogoo Liverpool FC jana kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya. Messi amesema licha ya ushindi wa mabao 3-0 lakini hajatosha kabisa kuweka matumaini ya kwamba tayari...
Sportpesa

Yanga yatemwa!

Ilikuwa Simba wacheze na Yanga ili kufahamu nani atacheza na Sevilla lakini baada ya kuangalia mambo kadhaa wamekubaliana na SportPesa kuwa Simba ndio wanaopaswa kucheza na timu hiyo kutoka Uhispania.
La Liga

Uhispania wafanya mabadiliko madogo kwenye michuano yao.

Shirikisho la kandanda nchini Uhispania (RFEF) jana Jumatatu limefanya mabadiliko madogo ya kombe la Mfalme (Copa del Rey) na lile la Hisani (Spanish Super Cup) ambalo huwakutanisha mabingwa wa Laliga na Copa del Rey kuanzia msimu wa mwaka 2019-2020. Kombe la Copa del Rey sasa litachezwa kwa mfumo wa mchezo...
Blog

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Czech afariki dunia kwa ajali.

Mshambuliaji wa kimataifa raia wa Czech Josef Sural amefariki dunia kufuatia ajali ya gari lililokuwa limewabeba wachezaji wa timu ya soka ya Aytemiz Alanyaspor kupata ajali wakati wakirudi nyumbani baada ya kumaliza mechi. Sural ambaye ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Czech amefariki wakati akipatiwa matibu hospitalini wakati ambapo...
Ligi Kuu

Kwaheri African Lyon ligi kuu Bara.

Lyon wamebakisha kucheza na Mbeya City mwanzoni mwa mwezi wa tano, kabla ya kuwakaribisha Mbao FC na Ndanda, baadae watasafiri kucheza na Mwadui mkoani Shinyanga na watamalizia nyumbani kwa kucheza na KMC.
La Liga

Barcelona ndio mabingwa wa LaLiga.

Baada ya kushuhudia klabu ya soka ya Juventus ikitawazwa bingwa wa ligi kuu ya Italia kwa mara ya nane mfululizo mwishoni mwa Juma lililopita, inawezakana Barcelona nao wakatangazwa mabingwa wa ligi kuu Uhispania usiku huu. Barcelona ambao usiku wa kuamkia leo wamefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Alaves...
1 2 3 4 34
Page 2 of 34
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.