ASFCLigi Kuu

Dismas Ten aomba radhi, adai akaunti ilidukuliwa!

Msemaji wa klabu kongwe nchini Dar Young Africans, Dismas Ten amewaomba radhi watanzania kutokana na kile kilichokuwa kikiwekwa kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram. Ten ambaye kwa majuma kadhaa sasa amekuwa akiweka taarifa za kuwaponda watani zake Simba SC kwenye ukurasa wake huo, ameonesha uungwana kwa kuwaomba...
Ligi Kuu

TFF wazidi kuitafuna akaunti ya Yanga.

Kamati ya bodi ya ligi kuu ya Uendeshaji na usimamizi wa ligi (Kamati ya saa 72) imeitoza klabu ya Yanga faini ya jumla ya shilingi milioni tatu na laki tano pamoja na kumfungia beki wake kisiki Kelvin Yondani kutokana na makosa mbalimbali. Katika kikao cha kamati hiyo kilichoketi April 18,...
Mataifa Afrika U17

Ajax, Manchester City wapigana vikumbo kwa Kelvin John.

Jarida maalumu la kuripoti michuano ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 inayoendelea hapa nchini, limeripoti kwamba tayari vilabu kadhaa barani Ulaya vimeonesha nia ya kufanya mazungumzo ya awali na walezi ama wazazi wa mshambuliaji wa Tanzania Kelvin John ili kumnyakua. Jarida hilo limewataja mawakala wa vilabu...
Ligi Kuu

Mgunda: Simba wametufunga kwa makosa yetu wenyewe.

Kocha wa Coastal Union ya Tanga, Juma Mgunda amewapongeza Simba kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 kwenye mchezo wa ligi uliofanyika Jumatano ya wiki hii kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga. Mgunda amesema licha ya kuwafahamu Simba lakini walijaribu kupunguza makosa kwenye sehemu ya ulinzi lakini haikuwa rahisi...
BlogEPL

Mmoja akamatwa, kwa maneno ya kibaguzi dhidi ya Beki wa Wigan

Kijana mmoja nchini Uingereza amejisalimisha mwenyewe Polisi mjini Blackpool baada ya kuandika maneno ya kibaguzi kwenye akaunti ya Twitter kuelekea kwa mlinzi wa Wigan Nathan Byrne. Kijana huyo amejisalimisha wakati ambapo Polisi wakiwa katika uchunguzi kufuatia klabu ya Wigan kupeleka malalamiko baada ya mashabiki kadhaa kuandika maneno ya Kibaguzi kwa...
Mataifa Afrika

Renard kuikacha Morocco baada ya AFCON.

Vyombo mbalimbali vya habari nchini Morocco vimeripoti kwamba kocha wa timu ya Taifa Herve Renard anatarajia kuachia ngazi kuifundisha timu hiyo mara baada ya kumalizika kwa michuano ya Mataifa Afrika. Kocha huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya Zambia na Ivory Coast anatazamiwa kukitema kibarua chake baada ya kupata...
1 2 3 4 5 34
Page 3 of 34
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.