Blog

Baxter amjumuisha mwanae katika kikosi cha Bafana Bafana

Kocha wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’ Stuart Baxter amemtangaza mwanae Lee Baxter kuwa kocha wa makipa wa kikosi hicho wakati ambapo wakijiandaa na mchezo wa kufuzu kwenye fainali za Mataifa Afrika dhidi ya Libya Jumamosi hii mjini Durban. Lee Baxter ambaye ni kocha wa magolikipa wa...
Blog

Ushahidi wa kumtia hatiani Kwesi Nyantakyi wakosekana.

Mwanasheria mkuu na Waziri wa Sheria nchini Ghana Gloria Akufo amesema hakuna ushahidi wa moja kwa moja kumtia hatiani Bosi wa zamani wa shirikisho la Soka nchini Humo Kwesi Nyantakyi. Akufo amesema mpaka sasa Hakuna ushahidi wa moja kwa moja ambao unamtia hatiani Nyantakyi ambaye alinaswa na Camera za Mwandishi...
La Liga

Real Madrid kumtangaza mrithi wa CR7

Baada ya kuondoka kwa Mshambualiaji Cristiano Ronaldo katika klabu ya Soka ya Real Madrid na kujiunga na Juventus Kumekuwa na maswali mengi je ni nani atavaa Jezi namba 7 ndani ya kikosi hicho cha Los Blancos. Japokuwa Juventus walitangaza Mapema kabisa kumsajili nyota huyo lakini Bado kocha Julen Lopetegui amekuwa...
EPLUhamisho

Olympiakos wamkana Yaya Toure

Uongozi wa klabu ya Olympiakos ya Uguriki umeshindwa kutoa tamko lolote, baada ya kuhusishwa na mpango wa kutaka kumrudisha kiungo kutoka Ivory Coast, Yaya Toure. Toure, ambaye kwa sasa ni mchezaji huru, baada ya kuachwa na mabingwa wa soka nchini England Man City mwishoni mwa msimu uliopita, amekua katika harakati...
Blog

Eto’o kumjengea nyumba nahodha wa zamani wa Cameroon.

Imeripotiwa kwamba Mshambualiaji wa Zamani wa Barcelona na Inter Milan Samuel Eto'o amemuahidi kumnunulia Nyumba nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon Norbert Owona. Eto'o amefikia maamuzi hayo baada ya Nyota huyo aliyewika na Cameroon katika miaka ya 1960 na 1970 kuripotiwa kwamba hana pa kuishi akiwa na...
Blog

Kigogo wa Mtibwa afurahia Kihimbwa, Sabato kujumuishwa Taifa Stars

Wachezaji wawili wa Mtibwa Sugar wamejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kwa ajili ya mchezo wa kufuzu mataifa ya Afrika “AFCON” dhidi ya Uganda utakaopigwa jijini Kampala , Uganda. Stars inayofundishwa na nyota wa zamani wa Nigeria Emanuel Amunike amewajumuisha katika kikosi chake mshambuliaji Kelvin...
1 27 28 29 30 31 34
Page 29 of 34