Zawadi zote hizo zilitolewa palepale katika viwanja vya Cocobeach mbele ya Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam Songoro Mnyonge akiambatana na watendaji wa kampuni ya Betika pamoja na Afisa habari Juvenille Lugambwa.
Nae kocha wa Simba Robertinho Oliveira amesema walipata ushindi juzi lakini huu ni mchezo mwingine wa Ligi ambao wanahitaji kuwa bora.
Baada ya klabu ya KMC kupata goli katika kila michezo yake sasa goli moja litakua na thamani ya shilingi laki tano hivo watakua wanatumia kiasi hicho cha pesa kurudisha kwenye jami
msimu uliopita waliwatoa pia katika michuano ya kombe la FA katika hatua ya robo fainali pia.
Baada ya ushindi huo sasa Mnyama Simba atakutana na Azam Fc katika nusu fainali ya michuano hiyo ya FA
Kwa upande wa Geita wao bado wanakumbuka walivyofungwa nje ndani na Yanga msimu huu lakini pia walovyotolewa msimu uliopita katika michuano hii hii hatua ya robo fainali na Wananchi Yanga.
Vita ya Simba na Ihefu ni kama bado haijakwisha kwani siku tatu mbele yaani tarehe kumi watakutana tena mkoani Mbeya Mbarali
Meridianbet wanakurudishia x100 ya dau lako pale ambapo tiketi yako itachanika kwa mechi moja
Wanajeshi hao wamedhamiria kupanda Ligi na si ajabu kufanya kwap vyema kunatokana na kusheheni mastaa kibao walioahi kutesa na timu za Ligi Kuu
Fainali ya mwaka huu itafanyika mkoani Tanga wakati michezo ya nusu fainali itafanyika Singida na Mtwara.