Di Canio mtukutu mwenye tuzo ya Fairplay!
Zikiwa zimesalia dakika tano matokeo yakiwa ni 1-1 huku West Ham wakihitaji point tatu muhimu, wana London wengi hawakumuelewa Di Canio akiwepo kocha wake Harry Redknapp
Story za zamani za kuhusu kandanda, ikihusisha matukio ya zamani ya soka, wachezaji wa zamani wa soka na matukio yake