Mabingwa Ulaya

Mabingwa Ulaya

Imebaki Barcelona tu, historia iandikwe.

Inawezekana baada ya vilabu vya Uhispani kutawala kwenye ligi ya Mabingwa Ulaya kwa zaidi ya mwongo mmoja kwenye hatua ya robo fainali, Mwaka huu tukashindwa kabisa kuiona miamba hiyo ya soka kwenye hatua hiyo muhimu. Baada ya Valencia kuondolewa kwenye hatua ya makundi, tumeshuhudia Real Madrid wakitolewa na Ajax kwa...
La LigaMabingwa Ulaya

Zidane azima ndoto za Ronaldo kurejea Madrid.

Kocha mpya wa Real Madrid Zinedine Zidane amezima ndoto za mashabiki wengi kumuona Cristiano Ronaldo anarejea kwenye klabu hiyo baada ya hapo jana Zidane kutangazwa kocha mpya ikiwa ni miezi 10 tu toka atangaze kuachia ngazi kwenye klabu hiyo. Zidane alipoulizwa kuhusu uwezekano wa Ronaldo kurejea Real Madrid amesema kwa...
Mabingwa Ulaya

Mourinho atoa sababu za kumwaga maji akishangilia

Katika ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Young Boys katika uwanja wa Old Traford, katika muendelezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya (UCL) Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alishangilia goli la kiungo Mmbeligiji Marouane Fellaini kwa staili ya aina yake. Mourinho alionekana kumwaga chupa za maji nje na ndani...
Mabingwa Ulaya

Henry apata mashaka, kutopata ushindi kwa Monaco.

Kocha wa timu ya Monaco Thierry Henry amesema haoni wa kumlaumu wakati akiwa hajashinda mchezo wowote toka alipokabidhiwa timu hiyo. Henry amesema kwa sasa wanachoangalia ni mchezo ujao dhidi ya Club Brugge wa ligi ya Mabingwa Barani Ulaya na kwamba anatamani kuona wachezaji wake wakipambana ili kupata ushindi wakati wakizika...
Mabingwa Ulaya

PSG yachunguzwa kwa upangaji wa matokeo mechi ya UEFA.

Vyombo vya uchunguzi nchini Ufaransa vimeanza uchunguzi kwa klabu ya Paris Saint Germain iwapo kulikuwa na upangaji wa matokeo katika mchezo dhidi ya Red Star Belgrade katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya. Taarifa kutoka nchini Ufaransa zinasema kuwa katika mchezo huo ambapo PSG walishinda kwa mabao 6-1 kulikuwa...
1 2 3 4 5 6
Page 3 of 6
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.