PSG yachunguzwa kwa upangaji wa matokeo mechi ya UEFA.
Vyombo vya uchunguzi nchini Ufaransa vimeanza uchunguzi kwa klabu ya Paris Saint Germain iwapo kulikuwa na upangaji wa matokeo katika mchezo dhidi ya Red Star Belgrade katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya. Taarifa kutoka nchini Ufaransa zinasema kuwa katika mchezo huo ambapo PSG walishinda kwa mabao 6-1 kulikuwa...