Mabingwa Ulaya

Mabingwa Ulaya

Emery awatahadhalisha wachezaji wake.

Kocha wa Arsenal Unai Emery amesema licha ya matokeo ya mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza nusu fainali ya Uropa dhidi ya Valencia, lakini bado anauona mchezo wa marudiano kuwa ni 50-50. Emery amesema ni matokeo mazuri kuyapata wakiwa nyumbani lakini anaamini kuwa mchezo wa mkondo wa pili utakuwa mgumu...
Mabingwa Ulaya

Sarri atoa sababu za kumuweka benchi Eden Hazard.

Kocha wa klabu ya soka ya Chelsea Maurizio Sarri ametoa sababu za kumuanzisha benchi mshambuliaji wa pembeni wa timu hiyo Eden Hazard katika mchezo wa nusu fainali ya Uropa Ligi dhidi ya Eintracht Frankfurt ambapo uliisha kwa sare ya 1-1. Sarri amesema haikuwa busara kumuanzisha mchezaji ambaye amecheza karibu katika...
Mabingwa Ulaya

Mancini: Balotelli bado hajawa fiti kuitwa timu ya Taifa.

Kocha wa timu ya Taifa ya Italia, Roberto Mancini amesema bado hajashawishika kumjumuisha mshambuliaji wa Marseille Mario Balotelli katika kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwenye fainali za Mataifa Ulaya mwaka 2020. Mancini amesema licha ya Balotelli kuwa katika kiwango kizuri lakini bado hajawa sawa...
1 2 3 6
Page 1 of 6
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz