Mabingwa Ulaya

Mabingwa Ulaya

Sarri atoa sababu za kumuweka benchi Eden Hazard.

Kocha wa klabu ya soka ya Chelsea Maurizio Sarri ametoa sababu za kumuanzisha benchi mshambuliaji wa pembeni wa timu hiyo Eden Hazard katika mchezo wa nusu fainali ya Uropa Ligi dhidi ya Eintracht Frankfurt ambapo uliisha kwa sare ya 1-1. Sarri amesema haikuwa busara kumuanzisha mchezaji ambaye amecheza karibu katika...
Mabingwa Ulaya

Mancini: Balotelli bado hajawa fiti kuitwa timu ya Taifa.

Kocha wa timu ya Taifa ya Italia, Roberto Mancini amesema bado hajashawishika kumjumuisha mshambuliaji wa Marseille Mario Balotelli katika kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwenye fainali za Mataifa Ulaya mwaka 2020. Mancini amesema licha ya Balotelli kuwa katika kiwango kizuri lakini bado hajawa sawa...
EPLLa LigaMabingwa UlayaSerie A

England ndiye mfalme wa Ulaya.

Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka kumi, nchi moja imefanikiwa kuingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya, baada ya usiku wa kuamkia leo Liverpool kuungana na Manchester United, Tottenham Hotspurs na Manchester City kwa ushindi wa mabao 3-1 ugenini dhidi ya Bayern...
Mabingwa Ulaya

Imebaki Barcelona tu, historia iandikwe.

Inawezekana baada ya vilabu vya Uhispani kutawala kwenye ligi ya Mabingwa Ulaya kwa zaidi ya mwongo mmoja kwenye hatua ya robo fainali, Mwaka huu tukashindwa kabisa kuiona miamba hiyo ya soka kwenye hatua hiyo muhimu. Baada ya Valencia kuondolewa kwenye hatua ya makundi, tumeshuhudia Real Madrid wakitolewa na Ajax kwa...
1 2 3 4 6
Page 2 of 6
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.