Tigana Lukinja: Sikutegemea usajili wa Yanga!
Tayari alikua katika nchi ambazo walau zimechangamka kisoka lakini ameamua kurudi nyuma
Ninja kurudi Yanga
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa anamtazama kwa ukaribu beki wa zamani wa timu hiyo, Abadlah Shaibu ‘Ninja’...
Abdallah Ninja afungiwa mechi 3
Kamati ya Nidhamu ya TFF imebaini kuwa Abdalah Shaibu Ninja alimpiga kiwiko beki wa Coastal Union katika mechi iliyochezwa katika uwanja wa Mkwakwani Tanga.
Abdalah Shaibu “NINJA” Ruksa kuivaa SIMBA
Kukubali kusikilizwa kwa Abdalah Shaibu "Ninja" kutakuwa na maana ya kwamba adhabu yake imeondolewa mpaka pale kamati ya nidhamu ya TFF itakapomsikiliza.
Abdallah Hajji ‘Ninja’ ilikuwa sahihi kumzomea, sasa apigiwe makofi
Usajili wake wala haukuwashtua wengi, haitoshi, mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi za Yanga SC alijifunga na kusababisha penati Agosti, 2017.
Ninja: Bado sijafika kiwango cha Cannavaro ila nitapambana.
Beki wa timu ya Soka ya Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' amesema anaendelea kujifunza kutoka kwa wachezaji wenzake tangu alipojiunga na...