Tuache ‘ushamba’, kiatu hakiwezi kuwa gumzo!
Kwa wanaosema Ever Barnega ni mchezaji wa kawaida, wajue tu kuwa Leo Messi ana jezi ya Lanzine sasa sijui Barnega na Lanzini nani ni mchezaji maarufu na mkubwa.
Simba inahitaji Shujaa mpya ili kuishinda Vita!
Sio hao tuu lakini kina Wawa na Juuko wakati wa mipira ya adhabu na kona mkivitumia vichwa vyenu kwa ufasaha zaidi
Baada ya Chanongo, Ubwa na Ndemla, Salamba atapotezwa.
Wako wapi, Abuu Ubwa na Haruna Chanongo? Kwanini Said Ndemla bado anaendelea kuchezea Simba SC wakati iliripotiwa alifuzu majaribio yake...
Wachezaji watano ambao wanatakiwa kupambana au kuondoka Simba
Ndiyo mabingwa watetezi na wawakilishi wa Tanzania katika michuano ijayo ya CAF. Walifanya usajili, usajili mkubwa kitu ambacho ni kizuri...
Usajili Simba hamna kituu!
Pamoja na kufanikiwa kuingia fainali ya michuano ya Sportpesa Supercup nchini Kenya baada ya kuwafunga wababe wa Yanga Kakamega Homeboys...
Adam Salamba amalizana na SimbaSc
Mshambuliaji wa Lipuli fc ya Iringa Adam Salamba ni rasmi sasa atajiunga na SimbaSc baada ya kukubali kusaini kandarasi na...
Tumkumbushe Salamba anaweza kuwa Simba au akamezwa na Simba.
"Kwa mara ya kwanza nimemuona namba 9 halisi" haya ni maneno ya kocha wa Mbeya City , Ramadhani Nswazurimo baada...
Azam waingia vita ya kumnasa Salamba, Lipuli wathibitisha
Klabu ya soka ya Lipuli imethibitisha kupokea barua kutoka katika vilabu viwili vikubwa vya Young Africans na Azam FC za...
Lipuli: Bado tunamipango na Adam Salamba
Uongozi wa klabu ya soka ya Lipuli ‘Wanapaluhengo’ umekanusha taarifa za kupokea maombi kutoka katika klabu ya Dar Young Africans...