Zahera apata ulaji AS VITA
Yanga waliachana na Mwinyi Zahera baada ya matokeo mabovu ya klabu hiyo.
Zana ajiunga na AS Vita Club.
Zana atakumbukwa zaidi na jamii ya wana Simba kutokana na muonekano wake wa kipekee, ukaribu na mashabiki , vituko na aina ya uchezaji wake wa kupiga krosi yaani kumwaga maji na yakamwagika.
Kama ni asilimia, wachezaji wa Simba ningewapa hivi….
Amepiga “successful tackle” moja, alitumika kama winga wa kushoto. Pale alipopata nafasi ya kushambulia, alifanya hivyo na alileta madhara, ndio maana ya goli lake. Anastahili kupata alama alizo zipata
Nani anashinda? Nani anaingia Robo fainali? kwangu ni Simba!
Ungana nami katika hatua hii ya mwisho kabisa ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba watua Dar watoa tamko zito.
Mimi naamini kwa morali tuliyonayo wachezaji pamoja na mbinu za mwalimu (Patrick Aussems)
Hajji Manara: Tunahitaji 60,000 ili tufuzu robo fainali
Wale Saoura walikuja hapa wakakutaa uwanja umejaa wakashangaa na kuanza kupiga selfie na mashabiki.
Tabiri matokeo ya Simba ushinde jezi na tiketi
Tabiri matokeo kwa kuandika katika sehemu ya maoni ndani ya tovuti yetu tu ya mechi hiii. Mtu wa kwanza kuwa sahihi kabla ya mchezo kuanza atajipatia tiketi ya VIP B mechi ya Simba SC vs AS V.Club na Jezi ya Klabu ya Simba.
CAF CL: Simba kukwea pipa Jumanne kuifuata Al Ahly.
Katika msimamo wa kundi D Simba inashika nafasi ya tatu baada ya kucheza michezo miwili, wakishinda mchezo mmoja dhidi ya Jeunesse Sportive de la Saoura kwa mabao 3-0 jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda kupokea kichapo kikali cha mabao 5-0 kutoka kwa AS Vita ya nchini DR Congo
Ugumu wa Simba kushinda uko hapa
Kesho Klabu ya Simba itacheza na Association Sportive Vita ( As Vita) katika uwanja wa Stade des martyrs wenye uwezo wa kubeba mashabiki 80,000.
Simba yaenda Congo, mshambuliaji mmoja abaki!
Simba inakwenda kucheza mchezo wa pili katika hatua ya makundi.