Bado una mashaka na upana wa kikosi cha Simba ?
Yani timu itoke Dar, baada ya siku tatu inatakiwa icheze mechi Iringa, baada ya siku tatu inatakiwa icheze mechi Shinyanga.Itoke Shinyanga, iende Dar tena kucheza mechi. Unacheza ndani ya muda mfupi bila mapumziko kwa wachezaji