Hata hivyo, kwa kuongezwa kwa Kombe la Dunia la FIFA kutoka timu 32 hadi 48, CAF itapata nafasi tisa, pamoja na taifa la ziada linaweza kufuzu kupitia Mashindano ya FIFA Play-Off
Aidha rais Infantino pia ameonyesha kuheshimu na kumshukuru Rais wa TFF Wallace Karia kwa juhudi zake kubwa katika kukuza mchezo wa soka katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati [CECAFA].