Simba na Yanga zakimbiana kombe la FA

Mshindi wa michuano hiyo ndio ataiwakilisha nchi katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Hivyo ni wazi vilabu vya Azam Fc na Singida Big Stars vitaendelea kukabana koo ili kupata ushindi na kupata nafasi ya kuwakilisha nchi Kimataifa