Siwezi kukuombea mazuri wewe na wenzio mkiwa uwanjani na timu yenu , lakini kama rafiki yako nitaendelea kukuheshimu daily , Kwa unachoendelea kutoa Kwa ajili ya football ya nchi hii.
Kesho twendeni uwanjani tukashangilie timu yetu, hata kama itatokea bahati mbaya tumefungwa itakua ni sehemu ya mchezo maana wakati mwingine mpira una matokeo ya kikatili.