Ligi KuuTumemzoea AJIB na Tunaelekea Kumsahau AJIB.Martin Kiyumbi5 years agoKuna muda tulitumia muda mwingi sana kumwandika, mikono yetu ilikuwa inatoa tabasamu kila tulipokuwa tunamwandika Ibrahim Ajib. Hata midomo yetu...
Ligi KuuHaruna Boban ni ´kamari´ ya Zahera, pigo kwa uvivu wa Ajib.Baraka Mbolembole5 years agoKuwa na Boban, Mrisho Ngassa, Kelvin Yondan,Thaban Kamusoko, Amis Tambwe, Deus Kasekeni faida kubwa kwa Zahera. Kazi kwake.
Ligi KuuUhamishoBOBAN atakuwa na faida kubwa kwa Yanga!Martin Kiyumbi5 years agoHabari ambazo zimeenea na viongozi wa Yanga kuwa na kigugumizi kuthibitisha ni kuwa kiungo wa African Lyon na aliyewahi kuchezea Simba, Haruna Moshi "Boban" kuwa amesajiliwa na klabu ya Yanga.
Ligi KuuYanga yashinda tena MKOANI.Martin Kiyumbi5 years agoTimu ya Yanga imefanikiwa kushinda katika uwanja wa sokoine mkoani Mbeya dhidi ya Tanzania Prisons Tanzania Prisons walikuwa wa kwanza...
Ligi KuuTetesiNjaa Yanga yasababisha kina AJIB kugoma!Martin Kiyumbi5 years agoKuelekea katika mchezo dhidi ya KMC kuliripotiwa kuwa Ibrahim Ajib anaumwa na asingeweza kucheza katika mchezo huo. Kwa habari za...
BlogManeno ya Zahera sikioni mwa Ajib si mapya, ni kweli hana nafasi Stars.Baraka Mbolembole6 years agoHIVI karibuni kocha mkuu wa Yanga SC, Mcongoman, Zahera Mwinyi alimzungumzia kwa mara nyingine kiungo wake mshambulizi Ibrahim Ajib na...
BlogBado tunaendelea kujadili nani alinufaika usajili wa AJIB na NIYONZIMA?Martin Kiyumbi6 years agoGhafla nimeukumbuka usajili wa "NIYONZIMA" na "AJIB" Pengine hawa ndiyo walikuwa wamefanikiwa kukaa karibu na kona ya mioyo ya mashabiki...
BlogNatamani leo Amunike awaite Ajib na Kichuya!Martin Kiyumbi6 years agoMacho yangu yalikuwa makini sana tulipokuwa kwenye dimba la Nambole. Dimba ambalo ni gumu sana. Nilijaribu kuiweka presha pembeni na...
BlogTuikumbuke Kesho tuliyoisahau kwa Goli la Ajib.Martin Kiyumbi6 years agoJana ambayo ilitengenezwa na juzi mbovu, juzi ambayo hatukuruhusu akili zetu kuwaza vyema. Hatukuipa nafasi akili yetu kufikiria maisha ya...
BlogBado naamini Ubora wa Ajib huonekana sana kwenye mechi ndogo!Martin Kiyumbi6 years agoMsimu jana Realmadrid ilibeba ubingwa wake wa tatu mfululizo wa ligi ya mabingwa ulaya. Ubingwa ambao aliubeba kwa kutumia nguvu...