Anafuatilia PSL sana na anaona kuyumba kwa Chiefs. Ni wazi kwamba inamtia wasiwasi, na kama angepata nafasi ya kujiunga na timu nyingine isipokuwa Chiefs,
Onyango aliongeza kuwa si yeye tuu bali kuna wachezaji wengi wanacheza wakiwa na miaka 40 na zaidi lakini pia kwake yeye anaiskiliza klabu yake kama bado wataendelea kumpa nafasi.
Hii itakuwa fainali ya pili mfululizo kwa Wydad na ya tatu dhidi ya Al Ahly, msimu uliopita wawili hao walikutana na Wydad waliibuka washindi kwa na kutwaa kombe hilo.
Hawa Wachambuzi wa Mpira wa Nchi hii kila mtu ana namna yake ya kujitafutia Ugali wake! Wengine wanatafuta kwa njia za kawaida wengine wanatafuta kwa njia ya kuchafua taswira ya wengine