Tumejiandaa vizuri kwa ajili ya mechi zote zilizobaki kwenye Ligi sio tu mechi ya Yanga, isipokuwa mechi na Yanga ni muhimu sana kwetu kutokana na nafasi na alama zetu kati yetu
Mwadui fc watakua wanaikaribisha Yanga katika uwanja wa Kambarage Shinyanga, wakati Coastal Union watakua Mkwakwani kuikaribisha Namungo fc katika mchezo wa kisasi.