Mbinu mpya za Yanga zilizoacha lawama kwa kipa wa Dodoma Jiji
Nasredeen Nabi ilimlazimu kutoka katika mfumo wake wa siku zote wa kumtegemea Fiston Mayele na kubadili mbinu ili kupata ushindi.
Kocha Yanga: Kesho tunacheza mechi mbili.
Yanga wakaua makao makuu ya nchi Jijini Dodoma kupepetana na Dodoma Jiji katika Ligi Kuu ya NBC.
Kocha Yanga rasmi kuikosa derby, Yondani nae yumo!
Miongoni mwa mechi atakazozikosa Nabi ni pamoja na mchezo wa Watani wa Jadi utakaopigwa April 30