Mkataba wa Nabi na Yanga umemalizika huku viongozi wa Yanga wakikiri mkataba huo umemalizika na wapo katika mazungumzo ya kumuongezea mkataba Mtunisia huyo.
Tunajivunjia mchezaji wetu kutakiwa na timu zote kubwa za Afrika. Ingeshangaza tufanye vizuri alafu isiwe kocha wala mchezaji wetu kutakiwa na timu nyingine
Ni lazima mchezaji bora awe mchezaji aliyefunga mabao mengi? Au ni lazima awe mchezaji aliyehusika na mabao zaidi? Au mchezaji bora anapatikana vipi, vipi kwa upande wa walinzi ama walinda mlango?