Mataifa AfrikaTimu yangu, chaguo langu! Kila lakheri Taifa StarsTigana Lukinja2 months agoMimi naamini kwa timu yetu nzima naamini kwa uzoefu wa nahodha wetu Mbwana Samatta na wenzake wengi wanaocheza ndani na nje ya nchi.
Mataifa AfrikaTanzania kufuzu Afcon ni kama filamu kwetu!Tigana Lukinja4 months agoNiacheni nionekane muoga tu lakini akili yangu inampitisha moja kwa moja Algeria kuchukua nafasi moja wapo kati ya hizo mbili.