Ligi KuuKariakoo Dabi Inavyogonga Afrika Nzima.Mwandishi Wetu6 months agoUwepo wa uwekezaji mkubwa katika Ligi yetu umewavutia wachezaji wao ambao wapo nchini lakini pia sababu za kifedha
StoriSimba Ilivyotupa Ladha ya Soka na Matokeo ya Kiafrika.Tigana Lukinja6 months agoSimba mpango wao ukafanikiwa wakapata goli lakini pia ndio wapo hatarini. Kwanini?
StoriPutin Alivyoiweka Simba Katika Mtihani Mpya KimataifaTigana Lukinja7 months agoJe, umeishawaza itakuwaje pale ambapo Ngoma au Mzamiru mmoja akiumia kwa bahati mbaya na akahitajika kuwa kwa muda mrefu?
TetesiOnyango Haendi Popote, Nabi Akiri Kusikitishwa Kukosa KibaruaMwandishi Wetu10 months agoKambi ya Nasraddine Nabi imethibisha kusikitishwa na kitendo cha Kazier Chiefs kumtangaza kocha mpya licha ya kukaa katika makubaliano kwa muda mrefu
Mabingwa AfrikaSadio Kanoute Atakua Msaada na Kero kwa Simba Dhidi ya Wydad.Tigana Lukinja12 months agoHapa ndiyo nafasi ya "Video analysist" wa timu inapokuja, najua mpira wa Africa unachezwa kwa mbinu zaidi na fitna za Kidunia za nje ya Uwanja.
Ligi KuuSimba Yaingia Kambini, Hali za Inonga, Manula na Kanoute Zawekwa WaziMwandishi Wetu1 year agoKuelekea mchezo huo kumekua na sintofahamu ya hali ya afya ya wachezaji wake watatu ambao wamekosekana katika michezo ya hivi karibuni kutokana na majeruhi.
Mabingwa AfrikaSimba yafanya balaa kwa Mkapa, Chama atuma salamu kwa MamelodiMwandishi Wetu1 year agoSimba sasa wameshafuzu kwenda robo fainali hivyo mchezo wa mwisho wa kundi lao dhidi ya Raja Casablanca ugenini utakua ni wakukamilisha ratiba.
BlogSadio Kanoute na kisasi cha RonaldinhoZe Mafia2 years agoKanoute anavunja kuni, anakaba, anapiga pasi pia anafunga. Simba inaenjoy kuwa naye katika kikosi chake lakini ukiachana na yote hayo,
Shirikisho AfrikaNi Wawa au Mzamiru kesho!?Thomas Mselemu2 years agoKanoute amekua akijenga "partenership" nzuri na Jonas Mkude si tu katika michuano ya CAF lakini pia hata katika michezo ya NBC Premier League.