Sipendi kuitwa Mbappe, namkubali Suarez
Kelvin John amekiri mwenyewe kuwa hafurahishwi na mashabiki kumuita Mbappe, na angependa afahamike kama Kelvin.
Kelvin John kurudi shuleni sasa.
Mchezaji wa Serengeti Boys (Tanzania U17), Kelvin John ameiambia Kandanda kuwa alishindwa kuendelea na masomo yake kwa sababu ya kucheza mpira.
Kelvin John kucheza Ulaya
Kwa maendeleo ya kipaji chake na soka letu kwa sasa tunasubiri kujua Kelvin John ataelekea wapi, wakati mameneja wake wakiendelea lushughulikia swala lake kupitia Samuel Eto’o.
Eto’o anamfuatilia Kelvin John.
Eto'o alimuahidi Kelvin John kuhusu timu ya kwenda kucheza Ufaransa iwapo tu...
Kelvin John- Licha ya kupoteza, tumejifunza vingi.
"Aaaah vingi , kwa mfano kama uliangalia mechi yetu dhidi ya Nigeria wakati tunaongoza...
Mechi za kirafiki hazikutujenga – Kelvin John
Fuatilia sehemu ya kwanza ya mahojiano na Kelvin John, mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 (Serengeti Boys).
Serengeti boys mbovu kuwahi kutokea?
Overall, timu ni kama haikuandaliwa kwa sababu hakuna muunganiko wa idara, kutoka ulinzi kiungo mpaka mbele hauonekani muunganiko.
Watanzania wanatakiwa kuwa wavumilivu- Ammy Ninje
Hili ni eneo ambalo Ammy Ninje ameahidi kulifanyia Kazi. Watahakikisha kuwa wanawekeza kuangalia vipaji bora ili viwepo kwenye timu.
Ajax, Manchester City wapigana vikumbo kwa Kelvin John.
Jarida maalumu la kuripoti michuano ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 inayoendelea hapa nchini, limeripoti kwamba...
Kelvin John yuko FIT kwa ajili ya AFCON
Kelvin John alikuwa mfungaji bora wa mi chuano ya CECAFA kwenye michuano ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17.