Kuna tatizo timu kupewa motisha ziifunge Simba?
Viongozi au mashabiki hutumia nguvu ya pesa kutafuta matokeo kwa vilabu vikubwa. Kutoka mitandaoni, uchambuzi huu umeandaliwa
Viongozi au mashabiki hutumia nguvu ya pesa kutafuta matokeo kwa vilabu vikubwa. Kutoka mitandaoni, uchambuzi huu umeandaliwa
Simba inefanikiwa kusonga mbele baada ya kuitandika Nyasa Big Bullets kutoka Malawi.
Nawaambia hii Selemani Matola ni Muajiriwa wa Simba Sponga Waajiriwa Wote wana namna yao ya Kuingia na Kutoka katika Ajira zao!
Klabu ya Simba ilimtangaza Juma Mgunda kutoka Coaatal union kwa muda, Sady anachambua uamuzi huo.
Kariakoo Derby kwa mara nyingine tena inawakutanisha Yanga Sc dhidi ya watani wao Simba Sc.
Michezo yote hiyo ya Ligi ya Mabingwa itachezwa kati ya September 9 na 11 na micjezo ya marudiani itapigwa kati ya September 16 na 18 mwaka huu.
Eneo la kiungo wa ushambuliaji la Simba ambalo lina utiriri wa wachezaji. Katika eneo hilo kuna mafundi kama Okrah, Okwa, Chama, Banda, Sakho, Kibu, Mwinuke na Phiri
Hata kama kampuni haina rangi nyekundu tupo tayari kufanya nao kazi, tutaheshimu “brand”
Ni mkataba mnono zaidi kwa ngazi ya klabu kuwahi kutoea hapa nchini kutokana na mafanikio na uwekezaji mkubwa Simba walioufanya
Kuhusu jezi msimu huu tumeacha kwenda China, sasa jezi zetu zinatoka Ulaya hazitoki tena Asia na wiki hii tunazizindua,