EPL

Owen: Salah anastahili tuzo ya Ballon d’Or

Mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or na mchezaji wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya Taifa ya England Michael Owen amesema Mohamed Salah anapaswa kuchukua tuzo ya Ballon d’Or kwa mwaka 2018 kama Liverpool itachukua kombe la Klabu bingwa Ulaya. Owen akihojiwa na kituo cha Omnisport  katika kipindi...
Blog

Ibrahimovic alimwa umeme kwa kumzaba kibao mwenzake

Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic 36, alitolewa nje kwa kadi nyekundu katika dakika ya 41 kwenye mchezo wa ligi nchini Marekani baada ya kamera kumnasa akimzaba kibao beki wa timu ya Montreal Impact, Michael Petrasso. Zlatan ambaye anaichezea timu ya LA Galaxy alitolewa nje baada ya kuonekana kwenye video akimzaba beki Petrasso...
Uhamisho

PSG wajitosa kusaka saini ya mkongwe Buffon!

Mlinda mlango mkongwe wa Juventus na timu ya Taifa ya Italia Gianluigi Buffon amehusishwa na kujiunga na klabu ya soka ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa. Kwa mujibu wa mtandao wa habari za michezo wa Sky ni kuwa Kipa huyo mwenye umri wa miaka 40 baada ya kuondoka Juventus anaweza kujiunga...
EPLUhamisho

Mkali wa mabao, akubali kutua Manchester United

Klabu ya Manchester United inakaribia kumsajili kiungo mshambuliaji raia wa Brazil, Anderson Talisca katika majira haya ya joto, jarida la Sportwitness la Uturuki limeripoti. Kiungo huyo wa Benfica ya Ureno yupo nchini Uturuki kwa mkopo katika katika klabu ya kandanda ya Besitkas Kwa misimu miwili sasa. Taarifa zinasema Kocha wa...
Shirikisho Afrika

Karia: Tutaisaidia Yanga michuano ya Afrika

Rais wa shirikisho la kandanda nchini (TFF) Wallace Karia amesema wataendelea kuisaidia timu ya Dar Young Africans katika ushiriki wao kwenye michuano ya Shirikisho Afrika. Karia ameyasema hayo Jumamosi, May 19 wakati wa kulikabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara kwa timu ya Simba Sports Club. Amesema...
Blog

Al Ahly wameweka rekodi muhimu ligi kuu nchini Misri

Timu ya soka ya Al Ahly imejiwekea rekodi ya kipekee baada ya kuifunga Al Masry kwa mabao 2-0 katika mchezo wa mwisho wa ligi hapo Jana. Mabingwa hao wa kihistoria wa Misri wamefikisha alama 88 ndani ya michezo 34 ya ligi wakiipiku rekodi ya mahasimu wao Zamalek ambao waliwahi kufikisha...
Blog

Kabwili kuanza dhidi ya Mali usiku huu.

Mlinda Mlango Ramadhan Kabwili amepangwa kuanza katika kikosi cha kwanza cha Timu ya Taifa ya Tanzania kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ kinachoshuka usiku huu kucheza na timu ya Vijana ya Mali. Kabwili ambaye hakucheza katika mchezo wa kwanza Ngorongoro wakikubali kichapo cha mabao 2-1 jijini...
Ligi Kuu

Dilunga alizamisha jahazi la Njombe Mji

Timu ya soka ya Njombe Mji italazimika kupata ushindi katika mchezo wao mwisho wa ligi ili kujihakikishia kusalia ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi uliopigwa leo mjini Njombe. Njombe Mji ambao walicheza vizuri wakikosa nafasi nyingi...
EPL

Kocha wa zamani wa Chelsea, ashauri Hazard auzwe

Kocha wa zamani wa Chelsea, Steve Clarke ameishauri timu yake kufikiria kumuuza mshambulijai wao Eden Hazard ili kupata fedha za kutumia kununua wachezaji wengine katika usajili wa majira ya joto. Akizungumza na kipindi cha redio cha Shirika la utangazaji la Uingereza BBC, Clarke ambaye alikuwa kocha msaidizi kwa kipindi cha...
1 31 32 33 34
Page 33 of 34