Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
BlogTetesi

Yondani kurudishwa Yanga

Taarifa mpya ni kuwa beki mkongwe Kelvin Yondani anaweza kurejeshwa kikosini baada ya kuanza mazungumzo mpya na uongozi wa Yanga Yondani na Juma Abdul walikuwa katika mpango wa kikosi cha Yanga kuelekea msimu ujao hata hivyo wachezaji hao waligomea ofa walizopewa awali na hivyo kuruhusiwa wakatafute changamoto mahali pengine Inaelezwa...
Blog

Naenda kuibadilisha YANGA- Senzo

Aliyewahi kuwa mkurugenzi mtendaji wa klabu ya Simba Senzo Mbatha amerudi Tanzania akitokea nyumbani kwao Afrika kusini. Mtandao huu ulikuwepo uwanja wa Taifa pamoja na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali kumpokea Senzo Mbatha. Senzo Senzo Mbatha anaenda kuwa mkurugenzi mtendaji kivuli wa klabu ya Yanga. Alipoulizwa anachukuliaje kitendo cha...
Ligi Kuu

Luis Miquissone ni mchezaji wa Simba-SENZO

Baada ya kuwepo na taarifa za hali ya sintofahamu kuhusu mkataba wa Luis Miquissone mchezaji raia wa Msumbiji, mtandao huu uliamua kumuuliza bwana Senzo Mbatha. Kumbuka Senzo Mbatha ndiye aliyekuwa mtendaji mkuu wa klabu ya Simba wakati Luis Miquissone na ndiye mtu ambaye alihusika sana kuhakikisha usajili wa mchezaji huyu...
1 2 3 4 5 79
Page 3 of 79
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.