Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
EPL

Manchester United watauza sana jezi zao

Klabu ya Manchester United imezindua jezi zake za msimu wa 2020/21, katika jezi hizo ile ya chaguo la tatu ndiyo imekuwa gumzo kubwa mitandaoni kite duniani. Wakizifananisha na pundamilia na wengine wakihusisha wafungwa. Mtandao wetu unakuletea usiyoyafahamu kuhusu muundo huo wa jezi. Julia mwisho Kuna kitu kimoja kuhusu hii jezi....
1 2 3 4 79
Page 2 of 79
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.