Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuandika na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Blog

Kinachomkuta Eboue wacha kimkute tu!

Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu mwingi wa rehma . Pili niwe mkweli sijawahi pata kuwa mwandishi kwa namna yoyote ile hivyo muniwie radhi kwa mapungufu yoyote ya kiuandishi . Kilichonisukuma kuandika ni kuhusu mchezaji mahiri wa soka mwenye mafanikio makubwa ndani na nje ya uwanja, Emmanuel Eboue. Taarifa zinaeleza, hivi...
Ligi Kuu

Simba wakanusha habari ya Okwi na Kwasi kuigomea.

Klabu ya Simba inapenda kukanusha taarifa iliyoandikwa na Gazeti la leo la Bingwa la tarehe 4-1-2018, iliyotoka na kichwa cha habari kikubwa kwenye ukurasa wake kwanza, iliyoandika OKWI, KWASI WAIGOMEA SIMBA. Taarifa hiyo inaeleza wachezaji hao Emmanuel Okwi na Asante kwasi hawatacheza hadi walipwe fedha zao za usajili. Kiukweli taarifa...
EPLLa LigaUhamisho

Coutinho njia nyeupe Barcelona

Huenda nyota wa klabu ya Liverpool, Mbrazili Philippe Coutinho akawa anaelekea katika klabu ya FC Barcelona kwa ada ya pauni milioni 133 kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari vingi. Klabu ya Liverpool inaangalia uwezekano wa kumpata Thomas Lemar kama mbadala wa Coutinho. Thomas Lemar anaangaliwa kuwa mbadala wa Phillipe Coutinho...
Kombe la Dunia

‘Msituumizie’ katika kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Uingereza itashiriki pia katika michuano ya kombe la dunia huko Urusi. Kocha mkuu wa kikosi hicho, Gareth Southgate, ameruhusu wachezaji wake kuongozana na Wake na Wapenzi  (WAGs -Wife and Girlfriends) wao katika michuano hiyo. Hapa tumekuwekea picha ya warembo mbali mbali ambao huenda wakawasindikiza nyota wa michuano...
Ligi KuuUhamisho

Kwasi Ruksa kwenda Simba Sc

Taarifa hii ni kutoka katika klabu ya Lipuli Fc. Uongozi wa LIPULI FC unapenda kutoa taarifa kwa wanachama, mashabiki na wapenzi wake juu ya hatma ya mchezaji Asante Kwasi ambaye toka kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu amekuwa mchezaji halali wa LIPULI FC lakini ktk siku za hivi...
Ligi KuuUhamisho

Kwasi ni wa Lipuli FC

Lipuli FC, yenye maskani yake katika mji wa Iringa, imekanusha kwa nguvu zote kuhusiana na uvumi wa beki wao kisiki Asante Kwasi kuhusu kuachana na klabu hiyo. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Uongozi wa timu ya Lipuli Fc ya mkoani Iringa unapenda kuchukua wasaa huu kukanusha uwepo wa mazungumzo ya...
Blog

Samue Samuel: Mawazo yangu juu ya Soka Letu

Mohamed Rashidi wa Tanzania Prisons ana goli 6 ligi kuu katika michezo 11 lakini humuoni si Taifa Stars au Kilimanjaro Stars. Kushindwa kuthamini changamoto ya vijana wengine nje ya Simba, Yanga , Azam na wachezaji wa nje ni jambo lingine linaloturudisha nyuma. Vijana hawa tungekuwa tunawaweka katika mizani sawa na...
1 60 61 62 63
Page 62 of 63
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.