Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
ASFC

Safari ya Mtibwa hadi Fainali

Timu ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kutinga fainali katika msimu wa tatu wa kombe lá FA baada ya kupata ushindi katika uwanja wa Kambarage Shinyanga dhidi ya Stand UTD. Tangu msimu huu wa Azamsports FederationCup uanze mechi zote za Mtibwa Sugar zimekua zikipangwa ugenini. Hivyo hakuna hata mchezo mmoja ambao Mtibwa...
Video

Napata burudani kumwangalia Marcel Bonaventure lakini sijui mwakani itakuaje!

Marcel Boniventure Kaheza "Rivaldo"  jezi namba 10 ya Majimaji huku pia akicheza nafasi hiyohiyo kama ya jezi yake namba 10 uwanjani. Kwa sasa ndie mchezaji tegemeo pale kwa wakazi wa Songea katika timu ya Majimaji. Huku wakiwa wanapambana timu isishuke daraja kwa kiasi kikubwa Marcel ndie anaeongoza kwenye uwanja wa...
EPL

Mechi zilizoipa ubingwa Man City mapema!

Manchester City ilianza harakati zake za ubingwa msimu huu kwa kudroo na Everton tena nyumbani Etihad kabla ya kurudi na kukaa sawa na kuifunga Bournemouth ugenini. Ligi ya Uingereza inayosifika kwa soka la kibabe na nguvu lilishindwa kufua dafu mbele ya Guardiola aliekuja na "soft football" na kutangaza ubingwa mapema...
Blog

Afisa Masoko hili linawahusu kwenye VPL.

Ligi Kuu Bara inayojulikana kama Vodacom Premier League inaendelea kushika kasi ikiwa inaelekea ukingoni. Ligi itaenda itakwisha na msimu mwingine utaanza tena na macho na masikio ya wapenda soka wataendelea kuifwatilia. Wakati mwingine inashangaza kidogo kwa ligi yetu hii pendwa inayotoa burudani na ushindani wa hali ya juu huku ikionyeshwa...
Ligi Kuu

Jumapili mubashara ya Ligi Kuu Bara

Tarehe Mechi Muda/Matokeo April 15, 2018 Azam FC vs Njombe Mji 0 - 0 April 15, 2018 Mbao FC vs Majimaji FC 2 - 2 April 15, 2018 Mwadui FC vs Stand United 1 - 3 April 15, 2018 Lipuli FC vs Singida United 1 - 0 Mwadui FC vs...
ASFC

Michezo ya kombe la FA imepangiwa tarehe.

Michezo ya nusu fainali ya Azamsports FederationCup tayari imepangiwa tarehe. Michezo hiyo itapigwa April mwaka huu,  zikizihusisha timu nne zilizifuzu hatua hiyo ambazo ni Singida utd, Mtibwa Sugar, Stand UTD na JKT Tanzânia. Mchezo wa kwanza wa nusu fainali utapigwa tarehe 20 April mwaka huu katika dimba la Kambarage Shinyanga...
1 59 60 61 62 63 66
Page 61 of 66