Sekwao Mwendi

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kitivo cha uandishi wa habari. Alijiunga na timu ya kandanda mwishoni mwa mwaka 2018. Anaandika kwa kuchambua kiundani na kutoa elimu tosha katika tasnia ya mpira wa miguu nchini.
EPL

BREAKING NEWS: Salah ndie mchezaji bora wa Africa 2018.

Mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2018. Katika kinyang'anyiro hicho Salah amempiku rafiki yake Sadio Mane ( Liverpool) na Pierre Aubameyang wa Arsenal. Tuzo hiyo, inamfanya Salah achukue mara ya pili mfululizo....
Mabingwa Afrika

Wajue AS VITA CLUB kiundani zaidi.

Katika mshindano ya Afrika, Club Vita ilishawahi kuwa bingwa wa Klabu bingwa Afrika mara moja mwaka 1973, na mwaka huu imefika fainali katika mashindano ya shirikisho Afrika. Na katika mashindano ya Afrika Mashariki “Kagame Cup” ilishawahi kushika nafasi ya 3 mwaka 2012.
EPL

Habari mbaya kwa mashabiki wa Liverpool. “Salah Out”

Hizi ni habari mbaya, si nzuri hata kidogo kwa mashabiki na klabu ya Liverpool kwa ujumla, hii ni baada ya kinara wa ufungaji katika klabu hiyo Mohamed Salah kuzawadiwa mkwaju wa penati baada ya kumdanganya muamuzi katika mchezo wa ligi uliochezwa jana dhidi ya New Castle United ya Rafa Benetiz.
1 9 10 11 12 13 14
Page 11 of 14