Griezmann kuondoka Atletico Madrid.
Klabu ya soka ya Atletico Madrid kupitia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii imethibitisha kwamba mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Antoine Griezmann hatokuwa na timu hiyo kwa msimu ujao licha ya kwamba mkataba wake unaisha mwaka 2023. Atletico Madrid imesema kwamba mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 tayari...