ASFCHabari ikufikie Mwananchi!Thomas Mselemu2 years agoKikosi cha Yanga kipo kambini kamili gado tayari kabisa kumvaa Mnyama katika mchezo wa kisasi kwa upande wao
ASFCJumamosi tulivu ya Sato na Sangara.Tigana Lukinja2 years agoMakocha wote wawili ni waumini wa mifumo yenye idadi kubwa ya viungo pale kati ili kuleta usawa mzuri kwenye kushambulia na kijihami
ASFCUsichokijua katika safari ya Simba kombe la FA!Thomas Mselemu2 years agoSimba imecheza michezo mitatu ikiwa mwenyeji dhidi ya Dar City, JKT Tanzania na Pamba Fc. Sio tu imepata ushindi lakini pia..
ASFCSimba ya Lwanga na Benno kuelekea kisasi cha msimu!Thomas Mselemu2 years agoHivyo kuelekea mchezo wa nusu fainali ya FA ni wazi Simba atakua na kisasi cha kulipa kwa Yanga ili "ku-level scorebody".
ASFCSimba na Yanga kukutana tena mwezi huu.Thomas Mselemu2 years agoRatiba ya kombe la Azamsports Federation Cup imetolewa leo na Shirikisho la Soka nchini TFF huku pia wakitaja na viwanja vitakavyotumika katika michezo hiyo ya nusu fainali.
ASFCKombe la FA: Ni fainali ndani ya fainali.Tigana Lukinja2 years agoMchezo wa nusu fainali ni utakua na hadhi, ukubwa na umaarufu kuliko fainali yenyewe kutokana na aina ya wapinzani watakaokutana.
ASFCYametimia wanakutana tenaThomas Mselemu2 years agoTangu kombe hili lirudi Simba amekua na historia nzuri mbele ya mwenzake, katika michezo mitatu yote Simba ameshinda
ASFCKocha Pablo kushusha kikosi kamili.Thomas Mselemu2 years agoPablo Franco kocha mkuu wa Simba amesema katika michuano hii kwa hatua iliyofikia hakuna timu raisi.
ASFCSimba: Pamba wazuri, tunaitaka Yanga.Thomas Mselemu2 years agoTunajua kwamba kila mmoja analitazama hili kombe (kombe la FA) kutokana na umuhimu wa kuweza kuwa nalo na ni kombe ambalo lipo mikononi mwetu
ASFCKiungo Simba! Namungo wanastahili ubingwa FA.Thomas Mselemu4 years agoAlimaliza kiungo huyo ambae kuna tetesi msimu ukimalizika huenda akatimikia nchini Estonia katika majaribio.