Leo Simba imeonesha kuwa ndiyo baba lao Baada ya kuifunga Arusha United kwenye uwanja wa Uhuru , uwanja ambao jana ulitumika kwenye mechi dhidi ya Yanga na Iringa United. Kwenye mechi ya Jana Yanga wakifanikiwa kushinda kwa magoli matatu ( 4) kwa bila (0) , huku magoli matatu (3...
Baada ya Jana kushuhudia Yanga wakishinda goli 4-0 dhidi ya Iringa United kwenye uwanja wa Uhuru , leo hii tumeshuhudia Simba katika kipindi cha kwanza wakienda huku wakiwa wanaongoza kwa goli 4-0. Magoli manne (4) ya Yanga yalipatikana katika kwenye vipindi vyote , ila mpaka muda huu wa mapumziko Simba...
Tukio hilo lilisababisha mchezo huo kusimama kwa muda , nyuki wale walihusishwa na imani za kishirikina na baadhi ya mashabiki hasa hasa mashabiki wa Yanga.
Licha ya changamoto ya uwanja lakini kikosi hicho kutoka Iringa kimeweza kuifanya fainali 'kuwa fainali' na walikuwa mbele kwa umiliki wa mchezo kwa muda mwingi jioni hii.
Lipuli fc imefanikiwa kuifunga Yanga sc na kukata tiketi ya kwenda fainali kumenyana na Azam fc mkoani Lindi baada ya kuifunga mabao mawili kwa sifuri.
Fuatilia sehemu ya kwanza ya mahojiano na Kelvin John, mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 (Serengeti Boys).
Msemaji wa klabu kongwe nchini Dar Young Africans, Dismas Ten amewaomba radhi watanzania kutokana na kile kilichokuwa kikiwekwa kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram. Ten ambaye kwa majuma kadhaa sasa amekuwa akiweka taarifa za kuwaponda watani zake Simba SC kwenye ukurasa wake huo, ameonesha uungwana kwa kuwaomba...