Alliance wanashuka dimbani jumapili hii kucheza na Mbeya City kwenye uwanja wa Nyamagana wakitoka kupata alama moja dhidi ya Tanzania Prisons baada ya sare ya bao 1-1
Katika mchezo huu Mbao wametuzidi kwenye eneo la kiungo, walikuwa bora zaidi na ndio maana walituzidi sana kwenye mchezo wa leo, niwape sifa kwa kuwa walikuwa bora kimbinu,