Baada ya “double hatrick” Simba watawala ufungaji bora
Baada ya Emmanuel Okwi na Meddie Kagere kufunga mabao matatu katika mechi moja kwa mara ya kwanza msimu huu katika mchezo dhidi ya Coastal Union ni wazi sasa katika vita ya ufungaji bora imetawaliwa na wachezaji kutoka Simba sc